UVUAJI:
mohammed mvuvi wa PapaPapa ni samaki mkubwa katika bahari. Makao ya papa nikatika maji makubwa ya bahari hindi. Papa ni samaki wa maji ya chumvi na kwa hivyo hupatikana tu katika bahari ya hindi.  Chakula cha papa ni samaki wadogo na majani fulan indani ya bahari.  Papa huvuliwa kwa kutumia Ndoana na Nyavu (Net). Uvuajiwa papa si kazi rahisi kwani ni mnyama mkubwa sana anayehitaji uangalifu na busara. Papa husababisha hasara kubwa kwa kukata vyombo vya uvuaji,basihuwatwatumiaujuziwakutega.

WAKATI WA UVUVI:
Papa huvuliwawakatikunagiza  (Mweziumeingiagizani) Nyavuhuteremshwandaniyamajinakutegakabisa. Papa akiingiakwenyemtegohushikwanaNyavu;
Kwakweli papa hujitetealakinimaramingihafuidafu.  Asubuhinamapemawavuvihuteremkachiniyabaharikutazamakamawamefaulukumshikapapa .

KUHIFADHI PAPA:
Pundetu papa akishavuliwa, hupasuliwakishahutolewamatumbo.Kishahusafishwakutoamajimachafunadamu.
Baadayahapohutiwachumvikukoleakisawasawakwamdawasikutatu.Baadayasikutatu,papa husafishwa tena kwenye maji ya Bahari mpaka kutoka chumvi yote iliyokuwa imetiwa awali.

Ili ya papaPapa hukaushwaBaharinikw wiki mmojakwajuaamaupepo. Baadaya wiki papa hua ashakauka vizuri na wavuvi hutafuta soko na kuuza kwa jumula kwa wauzaji wa rejareja. Papa huifadhika bila ya kuaribika kwa miaka miwili ama zaidi bora tukusafishwavizuri, chumvi ikolee vizuri na baadaye kusafisha tena kwa makini kutoa chumvi yote na kisha kukausha vizuri.

PAPA NI RASILI MALI YA WAVUVI:
Papa nirasilimali ya wavuvi na pia ni kitoweo kinachotumika sana katika Pwani.   Papa anafaidanyingisana:
Tiba Asili:
•    Pezi (Fin) : Ni tibayakiwiliwili  cha mwanamke na mwanamume, huongeza nguvu maradufu asilimia mmoja.
•    Liver Oil: Hutibu cancer na T.B.
•    Ngoziya Papa: Hutengenezewa Viatu na mabegi haswa  nchizakigenizilizoendelea. Hapakwetu Kenya hatujafikiakiwangohicho,
kwanikunahitajikafedhazakutosha, vifaanaelimu
•    Menoya Papa: Huchemshwa,kasha kutolewa nyama yote, kusafishwa na kukaushwa vizuri na baadaye kuuziwa watalii kama marembo ya nyumba
•    Vyombo vya kuvua huwa vina pandishwa juu baharini kufanyiwa marekebisho mwezi unaponga’ra, kwaniwakatihuo papa hapatikani.

STORY BY
Masoud Rashid na Ismail Abdallah Shee

FACILITATED BY
Fatma Mansoor


Add comment


Security code
Refresh

Highlights

Visitor Counter

2.png6.png2.png7.png4.png3.png
Today149
Yesterday459
This week2488
This month10287
Total262743

Who Is Online

1
Online

Share This

Follow Us

Our Partners