Hadithi Hadithi hapo zama zamani za kale Wadigo wasemekana walitoka Shungwaya  sasa Ethiopia wakafanya safari wakatembea wakatembea usiku na mchana , walipofika njia ya Lamu baina ya lamu na Malindi walikosana walipokosana walitengeneza vikundi tisa ndipo wakaitwa wamijikenda maana yake tisa.  waliomfuata digori ndie waliitwa wadigo , alafu waduruma,giriama,chonyi,kauma, mribe, mrabai, mjibane, na wakambe

Name: Mwanamkasi Iddi
Class:    3
Age: 8 years
School:    Lady of Our Mercy Primary School – Likoni
Theme: History of Wadigo Tribe (2-children)

Add comment


Security code
Refresh

Highlights

Visitor Counter

2.png4.png8.png8.png1.png7.png
Today230
Yesterday432
This week662
This month9295
Total248817

Who Is Online

3
Online

Share This

Follow Us

Our Partners