Kutia mui hijabuni ni sadaka ya mui hufanywa kukinga mui katika balaa fulani kama balaa ya njaa,ugonjwa,vita au janga lolote linalokabili mui huo. Sadaka huchangwa na wenye mui kila nyumba hutoa mchango wake kulingana na uwezo wako, kama pesa au mkate kwa wasiyojiweza. Pesa hizo hununuliwa ngombe, ngombe huyo huzungushwa mui mzima kwa dua na Quran kisha akachinjwa ndee ya mui na kuliwa pamoja na mkate.

Sadaka hiyo haifai kupelekwa muini inaliwa huko huko ndee ya mui. Sadaka hini hufanywa mpaka sasa.

Village Sacrifices for Disaster in Old Swahili
Village sacrifice is done when the village or the country is facing a certain disaster like outbreak of the disease, lack of rain, misunderstanding in the village, fighting, lack of rain and e.tc. The sacrifice is done by all the villagers of that village or town. Everyone contribute money for those who can not afford to pay money, they buy breads. Then a big cow is purchase with that money, the cow is taken round the whole village by the villagers themselves with prayers till  to a place out of the village, there is slaughtered, cook and eaten with breads. The meat is not allowed to be taken to the village is eaten out of the village where the cow was slaughtered.

Prepared by
Khadija Issa Twahir
Lamu Fort MuseumsAdd comment


Security code
Refresh

Highlights

Visitor Counter

2.png6.png0.png9.png4.png3.png
Today216
Yesterday472
This week688
This month8487
Total260943

Who Is Online

3
Online

Share This

Follow Us

Our Partners