Skip to content

Dawa za Miti shamba

Ustadh Mohammed Ahmed Hassan ni mjukuu wa Amir Jamadar na ni mjukuu wa kumi na tano (15) (15th generation) katika familia kurithi mambo ya matibabu na miti shamba.

Familia ya Ustadh Mohammed Ahmed Hassan vizazi vyao vimetokana na Jinni na wanaadamu. Babu yake Mohammed (grand grand father) alikuwa jinni na alikuwa amesafiri kutaka inchi za Kiarabu, akapitia Zanzibar, Pemba na mwishowe akatua Kenya katika bahari hindi upande wa Light House hapo ndiko iliko pango ya mzimle Kaimu Idarus (Jinni).

Jinni huyu ama kwa jina Kaimu Idarus bin Baushi Wakaile aliingia mjini na kamuoa msichana wa kibinaadamu na kasha kuzanae watoto wa kiume na wa kike.  Madhumuni ya jinni huyu hata kuowa mke wakiibinaadam ni kwamba kuwa alitaka wanaadamu wapate elimu ya kutibu na dawa za mti shamba nasi tu haya pia wapete elimu ya Kijinni na nguvu yakuweza kuona matatizo yanao wakumba wanaadamu hapa duniani.

Mzimle Kaimu Idarus  aliwafundisha wanao wa kiume;

 

 • Elimu ya dunia na Akhera,
 • Akawafundisha juu ya madawa ya miti shamba
 • na akawapa nguvu ya kimajini kuweza kuona na kutibu mgonjwa

Ustadh Mohammed Ahmed Hassan anatibu maradhi mbali mbali yanao wakumba wanaadam kwa kutumia ;

 • Dawa za miti shamba
 • Vyakula, matunda na mbegu yanao tokana na chakula
 • Dawa kubwa zaidi husomea mgonjwa Qur’aan Tukufu
 • Talasin – ni visomo husomwa na matabibu
 • Na nguvu za Jinni “Mzimle Kaimu Idarus”

Madawa anayo tumia Mohammed Ahemd Hassan kwa kutibu wagonjwa wake. Mfano:

Elimu Ya Urathi Kutoka Kwa
Kaimu Mzimle Idarus
na
Mohammed Ahmed Hassan

Haya ni madawa anayotumia Mohammed kutibu wagonjwa kwa kuchanganya kwa mfano mgonjwa wa kisukari:

 1. Unga wa mbegu za Zambarau
 2. Unga kibiriti upele
 3. Unga wa haltiti
 4. Unga wa haba soda
 5. Unga wa maganda ya koma manga

Changanya na;

 1. Asali half Glass
 2. Majani ya mwembe (yakaushwe kivulini. Yakikauka yasagwe unga)
 3. Matumizi – 1 spoon katika maji (half glass 1×3)
 4. Mzizi wa kabichi (yaondoa kisukari kabisa)

Kiuno Kuuma:

Ponda thomo jipake sehemu inayo uma
(kwa mda mpaka upate nafuu)

Mafuta ya haba soda (Yapashe moto Jipake hapo Kiunoni)

Kifua Kikuu (1X2) Kwa Miezi Miwili.

 1. Juisi ya kitunguu thomo (1 Glass changanya na)Mohammed Ahmed Hassan
 2. Haba Soda ya unga (1 spoon)
 3. Asali Safi
 4. Al-Qasusi
 5. Koto na Mawaridi
 6. Tembe (Sita) za Karafuu
 7. Unga wa Pembe ya mbuzi

(asifanye kazi ngumu na jimai asikose chakula kilicho bora)

Ustadh Mohammed Ahemed Hassan atibu magonjwa mengi na dawa asilia za Kiswahili na mti shamba.

 

ELIMU YA URATHI KUTOKA KWA
KAIMU MZIMLE IDARUS
NA
MOHAMMED AHMED HASSAN

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *